7. Mteja atakabidhiwa barua au hati ya umiliki ardhi, baada ya kupata ramani ya kiwanja na kulipia ada zote za upimaji na umiliki wa eneo husika, mmiliki atapatiwa barua ya umiliki (Letter of Offer) wa kiwanja na hivyo atatakiwa kushirikiana na Afisa Ardhi wa Halmashauri husika ili aweze kuandaliwa jarada la Hati Miliki (Title Deed) ya eneo lake.
Senicoms Green Solutions
Senicoms Green Solutions is an integrated business consulting firm that aims at providing creative link in planning and coordination of necessary and helpful business and service information to meet our customer ends at the convenient projected requirements. The agency also opt to provide for various business consulting activities and research on socio-economic development that cater for different services in the field of strategic business planning and development, project planning and write-ups, marketing strategy for product launch and promotion, events management and training on entrepreneurship, leadership skills and career development to our various clients.
On the other hand, the agency also aims at providing logistical services to our clients on job search and recruitment, real estate, procurement, physical movement and storage of components, parts, raw materials as well as semi-finished and finished goods to different clients. Through our communication and logistical strategy we hope to achieve optimum demand-service level at minimal cost that includes inbound and outbound movement logistics, and coordination of business consulting activities to enhance our clients’ oriented expectations.
Tuesday, May 16, 2017
HATUA ZA UPIMAJI WA KIWANJA AU SHAMBA NA KUPATA HATI MILIKI
7. Mteja atakabidhiwa barua au hati ya umiliki ardhi, baada ya kupata ramani ya kiwanja na kulipia ada zote za upimaji na umiliki wa eneo husika, mmiliki atapatiwa barua ya umiliki (Letter of Offer) wa kiwanja na hivyo atatakiwa kushirikiana na Afisa Ardhi wa Halmashauri husika ili aweze kuandaliwa jarada la Hati Miliki (Title Deed) ya eneo lake.
nashukuru kwa maelezo mazuri, hakika yamekuwa msaada mkubwa kwangu, naomba ufafanuzi juu ya title deed na je inatofauti gani na certificate right of occupancy)?
ReplyDeleteThey are all the same,isipokuwa letter of offer ndio sawa na barua ya kishika uchumba wakati ukisuburi kuandaliwa kwa title deed or right of occupancy.
DeleteAll things considered, on the off chance that it were not gainful I would not have been expounding on business land by any means. real estate companies in Dubai
ReplyDeleteni vizuri ili kila mtu apewe hatimiliki yake
ReplyDeletenataka kujua makampuni yaliyoidhinishwa na serikali kupima mashamba hili kuweza kupata hati miliki.
ReplyDeleteNaomba kujua
ReplyDeleteAsante sana kwa taarifa, nahitaji kujua gharama zatakazohusika. Nina eneo langu Mbezi Juu, Ndumbwi, Mito-miwili
ReplyDeleteNaomba kujuwa inachukuwa muda gani kwa ramani kuidhinishwa wizarani
ReplyDeleteJe kama wakala wa upimaji ameahakupimia na kukuwekea bicon lakini anakuzungusha kukupa ramani na namba ya kiwanja. Niende wapi ili nisaidike kupata Raman na namba?
ReplyDeleteWizara ya ardhi bado Kuna madudu unafuata taratibu hizo zote lakini utekelezaji wake ni Kama mtoto anae jifuza kutembea .hawana utaratibu wa huduma kwa mteja kwamba ikitoka hatua hii inakuja hatua hii na Kila hatua inachukua Muda gani ,Mimi ni mmoja Kati ya watu ambao nimefuatilia tangu mwaka 2013 mpaka Leo hatua hazija kamilika.kila unapokumbuka kuuliza una ambiwa bado Nani hajasaini miaka inakwenda .wekeni chati ili Kila mteja ajue utarabu wa Kila hatua na Muda wake kuodoa usumbufu naviashilio vya ruswa
ReplyDeleteNaomba kujua gharama za upimaji mpaka kupata hati miliki ya shamba au makazi in general
ReplyDeleteNaitaji kupima eneo langu ili kupata Title deed,naomba kufahamu je zoezi zima la upimaji na mpaka hatua ya mwisho ya kupata hati miliki vinachukua muda gani baada ya kufanya malipo yote husika?
DeleteAhsante
Habar ndugu? Mimi pia nina shida kama yako, naitaji kujua proces nzima za upimaji mpaka kupata hati ukiwa umelipia garama zote husika, je ni muda gani inachukua mpaka zoezi kukamilika na kupata hati?
DeleteAhsante
He mabaraza ya kata yanarusiwa kutoa hukumu/maamuzi kwenye maeneo yaliyopimwa yana mawe namba na Ramani ya mipango miji?
ReplyDeleteHivi kwa Ruvu upimaji viwanja inakuaje? Naitaji kupima saiti yangu! Ushauri wenu naomba
ReplyDelete